Monday, 12 July 2021

BREAKING NEWS: Matokeo ya Mtihani Kidato cha Sita yatangazwa

 


Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde ametangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu yaliyofanyika Mei 2021. Matokeo hayo yametangaziwa Zanzibar.
 
1.MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2021


2.MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2021


3.MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE) 2021


4.MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE) 2021

No comments:

Post a Comment