Banda la  Barrick laendelea kuvutia wengi maonesho ya Sabasaba
Kampuni ya madini ya Barrick inashiriki katika  maonyesho  ya Biashara ya  Kimataifa ya 45  yanayaoendelea jijini  Dar es Salaam ambapo banda lake la maonyesho na wajasiriamali inaowawezesha kutoka vijiji jirani na mgodi wa Bulyanhulu mkoani Shinyanga linaendelea kuwavutia wananchi na viongozi mbalimbali na wadau wa sekta ya madini.
Mmiliki wa mgodi wa madini ya Tanzanite,bilionea Laizer Saniniu,(wa tatu kutoka kulia) akiwa na wafanyakazi wa Barrick na wajasiriamali wanaowezeshwa na kampuni hiyo baada ya kuwatembelea katika maonesho ya Sabasaba jijini Dar es salaam.
Mfanyabiashara wa madini,Laizer Saniniu (Kulia) akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda la maonesho la Barrick.
Waziri wa Ardhi,Mh.William Lukuvi,(kulia) akiongea na Wafanyakazi wa Barrick alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya Sabasaba.
Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda,Dk.Exaud Kigahe(Kulia)akiangalia bidhaa zinazotengenezwa na wajasiriamali wanaowezeshwa na kampuni ya Barrick.




Post A Comment: