Saturday, 27 March 2021

PICHA MBALIMBALI ZA TUKIO LA MISA TAKATIFU YA KUAGA MWILI WA HAYATI DKT MAGUFULI KATIKA UWANJA WA MAGUFULI,CHATO MKOANI GETA

 

Msafara wa viongozi wanaosindikiza mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukiingia katika uwanja wa Magufuli uliopo Chato mkoani Geita tayari kwa ajili ya ibada ya mazishi, huku viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan wakihudhuria.
No comments:

Post a Comment