Monday, 8 March 2021

PICHA 10: WANAWAKE WIZARA YA MADINI WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 


Wanawake Wizara ya Madini wakiwa katika maandamo ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa mwezi kila mwaka.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Bi. Mwanahamisi Munkunda. akihutubia katika sherehe hizo wanawake za wanawake zilizofanyika Kimkoa Wilayani Bahi.Katika sherehe hizo wanawake wamepata Elimu kuhusu mambo mbalimbali, ikiwemo Ujasirilimali, Elimu ya kumiliki ardhi pamoja na fursa mbalimbali zitokanazo na Kilimo.

Siku hii imeongozwa na Kauli Mbiu "Wanawake katika Uongozi,Chachu ya kufikia Dunia yenye  usawa.

No comments:

Post a Comment