Friday, 26 February 2021

RAIS MAGUFULI AMTEUA DKT. BASHIRU ALLY KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI...ANACHUKUA NAFASI YA BALOZI KIJAZI

 

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amemteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi John Kijazi aliyefariki dunia Februari 17.

Pia, Rais Magufuli amemteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Balozi.
No comments:

Post a Comment