Friday, 22 January 2021

TANZIA: ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA KIGOMA AFARIKI DUNIA

 Taarifa iliyoifikia asubuhi hii, inaeleza kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga amefariki dunia leo katika Hospitali ya Jeshi mkoani Tabora alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa kamili itawafikia hivi punde.

No comments:

Post a Comment