Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Maswa mkoani Simiyu katika mikutano ya Kampeni wakati akiwa njiani kuelekea Bariadi.

Sehemu ya Wananchi wa Maswa wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Shinyanga.

Sehemu ya Wananchi wa Maganzo wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Shinyanga mjini.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mwigumbi wakati akielekea Maswa mkoani Simiyu.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: