Saturday, 5 September 2020

PICHA : RAIS MAGUFULI AKISALIMIANA NA MAMA MARIA NYERERE KWENYE MKUTANO WA KAMPENI CCM MARAMjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020


No comments:

Post a Comment