Tuesday, 14 July 2020

Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Kasulu Mjini

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini

No comments:

Post a comment