Waziri wa Afya  Hamad Rashid Mohammed akizungumza na Maofisa wa Jeshi la kujenga uchumi mara baada  ya kuwatembelea kwa lengo la kukagua kambi iliyokua ikitumika kwa kulaza wagonjwa wa Corona,hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa skuli ya JKU iliyopo Mtoni Zanzibar.
 Waziri wa Afya  Hamad Rashid Mohammed (kulia)akisisitiza jambo wakati akiwa katika moja ya chumba kilichokua kikitumika kutoa huduma kwa wagonjwa wa Corona  Skuli ya JKU Mtoni Zanzibar.
 Waziri wa Afya Hamad Rshid Mohamed akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa jeshi la kujenga uchumi Zanzibar [JKU] wakati akikagua maeneo mbalimbali   yaliyokua yakitumika kwa ajili ya wagonjwa wa Corona.
 Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid Mohammed  akikagua kituo cha Afya cha Selemu Mfenesini ikiwa ni miongoni mwa vituo vilivyoteuliwaa kutoa huduma za mwanzo kwa wagonjwa wenye dalili za Corona endapo wakitokezea .
Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa afya mara baada ya kukagua kituo cha afya cha Fujoni ambacho ni miongoni mwa  vituo vilivyoteuliwa kutoa huduma za mwanzo kwa wagonjwa wenye dalili za Corona endapo wakitokezea .PICHA NA-FAUZIA MUSSA/MAELEZO ZANZIBAR
Share To:

Post A Comment: