Tuesday, 11 February 2020

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlisha majani mnyama aina ya Pofu wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli walipotembelea Zoo hiyo iliyoko  Kigamboni jijini Dar es salaam kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlisha Simba nyama wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli walipotembelea Zoo hiyo iliyoko  Kigamboni jijini Dar es salaam kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo
February 11, 20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa  Dar es salaam Zoo ya Kigamboni jijini Dar es salaam Bw. Salim Nassor Mselem kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na  Mkurugenzi Mkuu wa  Dar es salaam Zoo ya Kigamboni jijini Dar es salaam Bw. Salim Nassor Mselem akimuangalia mnyama aina aliyezaliwa kwa kukutanisha Pundamilia na Farasi alipokwenda kujionea wanyama na ndege wa aina mbalimbali wanaofugwa humo leo February 11, 2020.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a comment