NA ANDREW CHALE, UNGUJA,ZANZIBAR

JAJI wa Mahakama kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.

Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieza taarifa juu ya kifo hicho.

Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.

Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu jaji mkuu wa Zanzibar.

Mwisho
Share To:

msumbanews

Post A Comment: