Friday, 3 May 2019

Rais Magufuli kumaliza ziara yake Mbeya leoRais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Magufuli leo anatarajiwa kumaliza ziara yake ya kikazi mkoani Mbeya.

Leo ataweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya (MUST) na atazindua upanuzi wa kiwanda cha saruji cha Mbeya.

Rais Magufuli amefanya ziara mkoani huko kwa siku nane mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini Malawi

No comments:

Post a Comment