MAJENGO
 ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliojengwa katika 
eneo la Gombani Kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake yaliofunguliwa na 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali 
Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
 RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed 
Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Magengo 
Matatu ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilioko katika eneo 
la Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba, kulia Waziri wa Fedha na Mipango 
Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa.(Picha na Ikulu)
 RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed 
Shein, akikata utepe kuashiria kufungua majengo ya Wizara Tatu za 
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha na Mipango 
Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Waziri wa Kazi 
Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na 
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim, wakishiriki katika 
ukataji wa utepe huo wakati hafla ya ufunguzi wa majengo hayo.(Picha na 
Ikulu)
 RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed 
Shein, akimsikiliza Mshauri wa Ujenzi wa Majengo Matatu ya Serikali ya 
Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi 
wa Majengo hayo eneo la Gombani Pemba.(Picha na Ikulu)
 RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed 
Shein, akiuliza mswali wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo 
katika eneo la Gombani Pemba.(Picha na Ikulu)
 RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed 
Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi
 Zanzibar Ndg. Khamish Ali Khamis, ( na kushoto Mshauri Elekezi wa Mradi
 wa Ujenzi huo Ndg. Mbarouk Juma.(Picha na Ikulu)
 RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed 
Shein, akimsikiliza Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee
 Wanawake na Watoto Pemba Ndg. Hakim Vuai Shein, kulia, wakati 
akitembelea jingo la Wizara hiyo.(Picha na Ikulu)
 WAZIRI
 wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, 
akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo hayo baada ya 
kuyafungua rasmin leo kisiwani Pemba katika eneo la Gombani.(Picha na 
Ikulu)
 RAIS
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed 
Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo hayo wakati alitembelea majengo 
hayo baada ya kuyafungua rasmin leo.(Picha na Ikulu)

Post A Comment: