Saturday, 18 May 2019

Picha : Dc Muro Akutana na Viongozi wa Dini Arumeru

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro akiongea na Viongozi wa dini  katika kongamano la kuombea Wilaya  hiyo ,Taifa na viongozi wa serikali kwa ujumla Kongamano lililoandaliwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru lililofanyika katika ndani ya chuo cha uhalimu Patandi jijini hapa.

baadhi ya viongozi wa dini  waliohudhuria katika kongamano  la kuombea wilaya ya Arumeru pamoja na Taifa kwa ujumla wakisikiliza kwa makini wakati mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry  Cornel Muro hayupo pichani akiongea katika kongamano hilo.

Picha ikionyesha Askofu  wa Kanisa la International Evangelism Eliudi Isanja akiongea wakati wa kongamano la viongozi wa dini


No comments:

Post a comment