Friday, 5 April 2019

Rais Magufuli atoa Bilioni 31 kupeleka umeme vijiji vyote Ruvuma


Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amesema kuwa Kwa mkoa wa Ruvuma Rais Magufuli ametoa Bilioni 31 kupeleka umeme kwenye vijiji vyote vya mkoa huo.

Amesema Vijiji vyote vilivyosalia mkoani Ruvuma vitapata umeme tena wa Tshg. 27,000. Vijiji na vitongoji vyake vyote unatarajia kumaliza kusambaza umeme ifikapo Juni mwakani.

Rais Magufuli yupo Mkoani Ruvuma ambapo anazindua barabara yenye urefu wa Kilometa 193 kuanzia Namtumbo-Kilimasera-Matemanga-Tunduru, imekamilika kwa asilimia 100 ikijengwa na Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Wadau wa maendeleo

No comments:

Post a comment