Monday, 29 April 2019

Mamia wahamia CCM Iringa, kuna Wenyeviti 50 wa VijijiWenyeviti 50 wa vijiji, wenyeviti   17 wa  vitongoji  na wajumbe wao  wa serikali za vijiji na vitongoji,  wenyeviti sita wa mitaa mji mdogo wa ifakara  wamejivua nyadhifa zao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)  pamoja na wanachama 300 wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa mbunge wa Kilombero.

Wanachama hao wapya wamepokelewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Innocent Kalogeris katika viwanja vya Stand Ifakara. Katika mkutano wa Mbunge, Mama Getrude Luwakatare kuelezea kwa wananchi utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020.


No comments:

Post a Comment