Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikalizaMitaaMhe.
Selemani Jafo akiwasili katika eneo la Mlowo inapojengwa Hospital yaWilayayaChamwinokwaajiliyaukaguziwamajengohayo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.
Selemani Jafo akikagua ujenzi wa HospitalI ya Wilaya ya Chamwino wakati
waziara yake Wilayani humo.
WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe.
SelemaniJafokitoaamelekezokwaMkuuwaWilayayaChamwinoMhe. VumiliaBogapamojanaMkurugenziwaHalmashaurihiyoNdg.
AthumaniMasasi wakati waziarayakekukaguaujenziwa Hospital yaWilayakatikaeneo la
Mlowo.
NteghenjwaHosseah,
MlowaChamwino
Ni
wiki mojasasatanguWaziriwaNchi, OfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe.
SelemaniJafo (Mb) kutembeleaeneo la ujenziwa hospital
yaWilayayaChamwinoinayojengwakatika Kata yaMlowoambapoalikutakusuasuakwaujenziwa
hospital hiyoilihalifedhazilishapokelewazaidiyamiezimitanoiliyopita:
Halihiyoilimpelekeakutoaagizo la kuendeleakwaujenzihuoharaka
HivileoWaziriJafpamerejeatenakatikaeneo
la ujenziwa hospital hiyonakiushuhudiaujenziukiwaunaendeleakwakasinamajengozaidiyamatatuyakiwayameshaanzakupandanamengineyakiwayanakamilishwakwenyehatuayajamvi.
Mafundiwakutoshawakiwawanaendeleanashughulizaujenzikatikaeneo
la MlowohukuMenejimentyaChamwinonayoikitoamuongozowanini cha
kufanyasambambanaKamatiyaUlinzinaUsalamaikiwainahakikikuwakitukitukinaendakamakilivyopangwanimiongonimwavituvilivyomfanyaWaziriJafokurejeshaImaninaHalmashaurihiikuwawamejipangakukamilishajengoleondaniyamudakamaalivyoagiza.
AkizungumzakatikaziarahiyoMhe.Jafoamesemaamefurahikuonaujenziwa
Hospital yaWilayaumefikiakatikahatuanzurinakuwatakawatendajiwaChamiwnokuendeleanakasihiyoili
Hospital hiyoiwezekumailikamapemanaiweyenyeuborawahaliyajuu.
“Leo
nawezakuwapongezammefanyakazikubwandaniya wiki mojaniliyowapasasanatakaikifikatarehe
12 Mei majengoya Hospital
hiiyaweyamefikiahatuasiyochiniyaLentakwamajengoyotesabatayarikwakuezekanakuanziatarehe
25 Mei majengoyoteyaweyamepauliwakwaHospitali” alisisitizaJafo.
Wakati
huohuoJafoameugizaUongoziwaHalmashauriyaWilayayaChamwinokuanzakupangaWilayahiyokwamujibuwasheriazamipangomijiiliuwezekuendananahadhiyaMakaoMakuuyaNchi.
“ChamwinoikokaribusananaJiji
la Dodoma naJijihivisasawanaendakwakasisanakatikaupangajiwamaeneo,
wanapimaviwanjawanauzanawanaongezamapatoyaolakinisioniizojitihadakatika Wilayah
ii nanyiendiposehemuambapoIkuluimejengwamnatakiwamjiongezemuanzekupimamaeneonakuuzailimuongezenamapatoyaHalmashauriyenu”
alisemaJafo.
Aliongezakuwakatikaeneohili
la Mlowoambapo hospital
inajengwamngenzakufanyamikutanonawananchiilimkubalienutaratibusahihiutakaotumikakatikakupimamaeneoyawakazilakinipiakutafutamaeneoambayoHalmashauriinawezakuyanunua,
kuyapimanakuyauzakwawahitaji; Mhakikishemmetngamaeneoyahudumazakijamii, makazi,
biasharanauwekezajihiiitawasisiasanakatikakuongezamapato.
HalmashauriyaWilayayaChamwinoilipatashilingiBil
1.5 kwaajiliyaujenziwa Hospital yaWilayamapemamweziOktoba – Novemba, 2018
nampakasasaujenzihuounaendeleavizuri.
Post A Comment: