Tuesday, 19 March 2019

Maalim Seif akabidhiwa kadi ACT Wazalendo


Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CUF, amekabidhiwa kadi namba moja ya Chama cha ACT Wazalendo.

Baadhi ya Wanachama wengine wa CUF waliokabidhiwa Kadi za ACT Wazalendo, ni pamoja na aliyekuwa Mgombea mwenza wa Urais katika Uchaguzi wa mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA, Juma Duni Haji, na Ismail Jussa.

Utakumbuka hapo jana  Marchi 18, 2018 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif  alitangaza kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Hiyo ni baada ya Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kutimua kiongozi hiyo

No comments:

Post a comment