Friday, 10 August 2018

Snura na mpenzi wake wapata ajali

Msanii wa Bongo, Snura Mushi amenusurika katika ajali ya gari. Muimbaji huyo alikuwa ameongozana na madensa wake, aliyetoa taarifa ya ajili hiyo iliyotokea majira ya saa nne usiku ni Minu Calypto ambaye anatajwa kuwa mpenzi wa Snura. 
Kupitia Instagram ameandika; "Jana mida ya saa nne usiku tulipata ajali mimi na Snura Mushi na ma-dancer wetu wawili pamoja na dereva.. Gari ilipinduka ila tunashkuru Mungu tuko salama.. #WeGood"

No comments:

Post a comment