Jumla ya mechi nne za Ligi Kuu Tanzania Bara zinapigwa leo katika viwanja tofauti nchini ambapo moja pekee itaanza saa 8 mchana.

Mwadui FC vs Young Africans - CCM Kambarage, Shinyanga (Saa 10:00 Jioni)

Simba SC vs Kagera Sugar - Uwanja wa Taifa (Saa 8:00 Mchana)

Singida United vs Majimaji FC - Namfua Stadium ( Saa 10:00 Jioni)

Lipuli FC vs Mbeya City - Samora Stadium (Saa 10:00 Jioni)
Share To:

msumbanews

Post A Comment: