Monday, 9 April 2018

Tazama hapa video mpya ya Bi cheka Amerejea tena

Baada ya ukimya mrefu, hatimaye msanii Bibi Cheka amesikika tena katika Bongo flava kwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Hali Yangu’ ambao amemshirikisha DJ Tiffa. Itazame hapa.No comments:

Post a Comment