Wednesday, 21 March 2018

Video: Sina haraka na mapenzi – Mimi Mars

Msanii wa muziki Bongo, Mimi Mars amefunguka kwanini kwa sasa hayupo katika mahusiano yoyote, pia ameeleza ukaraibu wake wa kazi na member wa OMG, Young Lunya ambaye amemshirikisha katika ngoma ‘Sitamani’.

No comments:

Post a comment