Tuesday, 6 March 2018

Picha: Hali ya Mhe. Lissu yazidi kuimarika, aanza kufanya mazoezi mitaani Ubelgiji


 Hali ya afya ya Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Mhe. Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa ameanza kufanya mazoezi mitaani.
Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji akiwa katika matibabu alipopelekwa tangu mapema mwezi January mwaka huu, ameonekana kwenye picha kadhaa akiwa na mkewe katika mazoezi hayo.

No comments:

Post a comment