Friday, 23 February 2018

Hii ndio ratiba ya michuano ya kombe la Europa, Arsenal uso kwa uso na AC Milan

Droo ya hatua ya raundi ya 16 bora ya kombe la Europa League 2017/18 imepangwa Ijumaa hii.
Macho ya mashabiki wengi wa soka yatakuwa katika mechi ya Arsenal ambao wampangwa kuanza ugenini na AC Milan ya Italia. Mechi nyingine ita wakutanisha Marseille dhidi ya Athletic, wakati Atletico Madrid wataanzia nyumbani dhidi ya Lokomotiv Moskva.
Nao Dortmund wamepangwa kucheza dhidi ya Salzburg. Tazama ratiba kamili hapa chini.

No comments:

Post a Comment