Wednesday, 11 August 2021

PICHA 7 : OLESABAYA ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO.

Kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021  ya  Upande wa Jamhuri ya unyanganyi kwa kutumia silaha dhidi ya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili inaendelea kusikilizwa muda huu baada ya hapo jana Hakimu Mwandamizi Odira Amworo kuhairisha kesi hiyo kutokana na mawikili sita wa upande wa utetezi wakiongozwa na na Wakili Msomi  Dànkan Oola kuweka pingamizi kwenye vielelezo vya Shahidi wa kumi na moja alivyoviwasilisha mahakamani hapa ambaye ni Askari wa Polisi Idara ya Upelelezi Dectactive Constable James.


No comments:

Post a Comment