Friday, 9 July 2021

NAIBU WAZIRI : TUNAHITAJI MAGEUZI MAKUBWA WIZARA YA MAJINAIBU waziri wa maji Mhandisi, MaryPrisca Mahundi amesema kuwa wanahitaji mageuzi makubwa kwenye wizara ya maji na kuwa  yale yaliyokuwa yakizungumzwa huko nyuma ifikapo 2025 wizara  hiyo iwe na sura tofauti kabisa.


Mhandisi Mahundi amesema hayo jana wakati akizungumza na wafanyajazi wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Jijini mbeya ambapo amesema kuwa matusi mengi ya kumnyima kura mh rais ni kero za maji katika maeneo mbalimbali.


Mwisho.

No comments:

Post a Comment