Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita.

Na Kadama Malunde
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) kimetoa mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari (Media Laws) kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita.

Akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo leo Jumatatu Julai 12, 2021 Jijini Mwanza, Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius amesema mafunzo hayo ya siku tatu yatawasaidia waandishi hao wa habari kuandika habari kwa weledi zaidi.

"Waandishi wa habari ni kundi muhimu sana katika jamii hivyo ni vyema wakawa na uelewa wa kutosha kuhusu masuala ya haki za binadamu lakini pia wawe na uelewa kuhusu sheria mbalimbali zinazohusu Tasnia ya habari ndiyo maana LHRC tunatoa mafunzo haya ili kulisaidia kundi hili",amesema Eligius.

Nao washiriki wa mafunzo hayo, wameiomba Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu kuziondoa sheria zote ama vipengele vya sheria vinavyolalamikiwa kubinya uhuru wa vyombo vya habari.

ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Jumatatu Julai 12,2021 Jijini Mwanza. 
Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita
Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza kwenye mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita

Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita wakiwa kwenye mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari.

Share To:

Post A Comment: