Mamia ya wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani wamejitokeza kwenye mazishi ya Mshereheshaji Maarufu MC Dickson Mitundwa (27) katika  Makaburi ya Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga leo Alhamis Mei 13,2021.

MC Dickson Mitundwa alifariki dunia Mei 10,2021 jijini Dar es salaam baada ya kuugua ghafla akiwa Hotelini akijiandaa na safari ya kurejea nyumbani kwao mkoani Shinyanga ambapo alikimbizwa kituo cha afya Palestina Sinza kwa ajili ya matibabu na kuthibitika kuwa amefariki dunia.


PICHA ZOTE NA WILCAN

Mc Dickson Mitundwa enzi za uhai wake
Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Dickson Mitundwa leo Alhamis Mei 13,2021 . Picha zote na Wilcan

Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: