Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mkata Wilayani Handeni Mkoani Tanga, leo Machi 15,2021, Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021, Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga Mhe. Henri Shikifu. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu Mipango endelezi ya Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kutoka kwa Meneja Mtendaji wa Kiwanda hicho John CK leo March 15,2021, Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Utepe Kuweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo Machi 15,2021, Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimwagilia Maji Mti aina ya Paukaria alioupanda katika eneo la Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo Machi 15,2021 baada ya kuweka Jiwe la Msingi Kiwanda hicho. Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela.

Share To:

Post A Comment: