Monday, 27 July 2020

PICHA: Tundu Lissu alivyowasili Tanzania leo na kupokelewa Uwanja wa Ndege

Makamu Mwenyekiti wa  Chadema- BaraTundu Antiphas Lissu,  amewasilia nchini  leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020.

Lissu amewasilia nchini Tanzania akitokea Ubelgiji kwa ndege ya Shairika la Ethiopia na kupokelewa na viongozi wa Chadema, ndugu, jamaa na marafiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

No comments:

Post a comment