Wednesday, 25 December 2019

Picha za mkesha wa Krismas kanisa la KKKT usharika wa kanisa kuu

Mwalimu kwaya ya vijana Rupyana Samweli kulia akiongoza tarumbeta kukiimba wimbo maalum wa Krismas na kwaya ya vijana  wakati wa mkesha wa Krismas 
Wanakwaya kwaya ya vijana kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa kanisa kuu Iringa wakiimba WIMBO maalum wa Krismas wakati wa mkesha 
Waumini wa kanisa hilo wakiwa katika mkesha 
Waimbaji wa Kwaya kuu  Iringa wakifuatilia mhubiri 

No comments:

Post a comment