Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Mkoa wa Arusha, Ndg. Anna Agatha Msuya(katikati) akizungumza jambo na baadhi ya viongozi na wanafunzi wa Kidato cha Sita mwaka 2019 walio katika kambi ya Kitaaluma inayoendelea katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa, alipotembelea shuleni hapo.




Share To:

msumbanews

Post A Comment: