Wednesday, 20 March 2019

ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE

Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Pwani,Zainabu Vulu akifungua ofisi ya kata UWT Kisarawe mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Pwani,Zainabu Vulu akizungumza na wajumbe wa kata ya Kisarawe ,ambapo alisema Msingi wa kuwa na maisha bora ni kufanya kazi kwa bidii na ameahidi kuendelea kuwaunga mkono ili kuhakikisha wanasonga mbele bila kurudi nyuma.
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Pwani,Zainabu Vulu akikabidhi viti kwa Katibu wa UWT kata ya Kisarawe,Moshi Litatilo kwa ajili ya ofisi ya kata hiyo

No comments:

Post a comment