Thursday, 18 October 2018

Tazama Magari Mapya waliyoniunua Chadema

Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Chadema, leo Jumatano October 17  kimeonyesha magari yake aina ya Ford Ranger ambayo yatatumika katika shughuli za kukiimarisha chama hicho na kukirejesha kwa wananchi.

Msemaji wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania, Tumaini Makene  ameseama magari hayo yatatumika katika chaguzi na utekelezaji programu ya Chadema msingi..

A

No comments:

Post a comment