Wednesday, 25 July 2018

Picha 10 za Washiriki wa Miss Tanzania kanda ya Kaskazini

 Washiriki wa Miss Tanzania kanda ya Kaskazini linaloandaliwa na kampuni ya Kismaty Media Advert wanyange hao wanatarajiwa kufanya shindano la kumsaka Miss northern zone  julai 28 katika ukumbi wa Naura Springs wakiwa katika Kituo cha Makumbusho ya Utamaduni cha CULTURE HERITAGE Jijini arusha lengo likiwa nikuhamasisha utalii wa Ndani samba wakiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho hayo Seif Culture.No comments:

Post a comment