Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kuwa imeshtushwa na taarifa zilizoandikwa na Gazeti la Mwananchi tarehe 17 Mei taarifa hizo si za kweli na zinapaswa kupuuzwa.
Taarifa y BOT imeeleza kuwa Gazeti hilo lilidai kwamba imeongezeka Trilioni 12 katika deni la Taifa kati ya Disemba 2017 na March 2018 takwimu ambazo sio sahihi.
Soma taaarifa yake:
Share To:

msumbanews

Post A Comment: