Kila mmoja anapenda kuona maisha yake yanapiga hatua kila siku, hakuna mtu ambaye hapendi kuona maendeleo yake binafsi ingawa vikwazo ni vingi hasa upande wa utafuta riziki.

Naitwa Uledi kutokea Bagamoyo, kwa sasa nimeajiriwa kwenye kampuni kubwa ya usambazaji vinywaji baridi, nimefanya kazi hii kwa miaka zaidi ya 12 sasa.

Miaka mitatu iliyopita nilifanikiwa kupandishwa cheo na kuongezewa mshahara baada ya kufanya kwa miaka tisa bila kupata fursa hiyo ambayo kila mfanyakazi huwa anaitamani.

Sababu ya kuikosa kwa muda mrefu sio kwamba sikuwa na vigezo au ofisi yangu haikuwa na uwezo, laah hasha!, bali ni fitna za kikazi ambazo baadhi ya wafanyakazi wenzangu walikuwa wanazifanya kwa kushirikiana na uongozi. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: