Na  Mwandishi wetu ,Chunya


MBUNGE wa Jimbo la Lupa Mhe. Masache Kasaka,  amezindua zahanati kijiji cha Itumba, kata ya Chalangwa wilayani Chunya pamoja na harambee ya kuchangia kituo hicho.

Uzinduzi  huo wa Zahanati wa ulienda sambamba na Harambee ya kuchangia kupaua nyumba ya mganga wa kituo hicho.

Katika harambee hiyo jumla ya Mil 6.5 zimepatikana kutoka kwa wadau na wananchi mbali mbali .

Share To:

Post A Comment: