Friday, 5 November 2021

RAIS SAMIA AWASILI DODOMA

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Zanzibar kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Dodoma alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Zanzibar kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.

No comments:

Post a Comment