Sunday, 3 October 2021

Picha 50 : Kutoka kwenye Mazishi ya Naibu Waziri OleNasha

 

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro William Tate OleNasha  amezikwa jana Oktoba 02 2021 katika kijiji cha Osnoni Wilaya ya Ngorongoro na miongoni mwa viongozi waliohudhuria mazishi hayo ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Spika wa Bunge Job Ndugai,Katibu wa Siasa na Itikadi wa Chama cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka ,Mawaziri na Manaibu Mawaziri,pamoja na Wabunge.

 
 

No comments:

Post a Comment