Friday, 8 October 2021

MKURUGENZI MKUU NSSF AONGOZA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba  (wa tatu kulia) akiongoza matembezi ya pamoja yaliyoshirikisha wafanyakazi wa Mfuko huo kutoka Ofisi za Makao Makuu na zile za mikoa ya Ilala, Kinondoni, Temeke pamoja na vituo vya Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyobeba kauli mbiu isemayo “NGUVU YA HUDUMA”
Matembezi yakiendelea.
Matembezi yakiendelea.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba  (katikati mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Mfuko huo kutoka Ofisi za Makao Makuu na zile za mikoa ya Ilala, Kinondoni, Temeke pamoja na vituo vya Dar es Salaam baada ya kufanya matembezi hayo. 


Na Mwandishi Wetu 


MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba akiongoza matembezi ya pamoja yaliyoshirikisha wafanyakazi wa Mfuko huo kutoka Ofisi za Makao Makuu na zile za mikoa ya Ilala, Kinondoni, Temeke pamoja na vituo vya Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyobeba kauli mbiu isemayo “NGUVU YA HUDUMA”

Lengo la matembezi hayo ni kukuza mshikamano na umoja katikati ya wafanyakazi ambao ndio watoa huduma za Hifadhi ya Jamii.

Matembezi hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment