RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa  Zanzibar(ZSTC) Dkt.Said Seif Mzee akitowa maelezo,wakati wa ziara yake kutembelea Ghala la kuhifadhia Karafuu katika Bandari ya Wete Pemba, zikisubiri kusafirishwa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban.(Picha na Ikulu)

Share To:

Post A Comment: