Wednesday, 25 August 2021

Naibu waziri wa maji mhandisi Mahundi awapongeza watumishi wa wakala maji vijijini wilaya ya Babati

 Na Mwandishi wetu  ,Manyara


NAIBU  waziri wa Maji Mhandisi ,Maryprisca Mahundi amewapongeza watumishi wa Wakala wa Maji Vijijini Wilaya ya Babati  kwa kujitolea kwa dhati kutekeleza mradi wa maji wa  Mayoka-Minjingu.


Amesema wataalaam hao walilazimika kuzama majini ziwa Manyara ili kuweka miundombinu ya mabomba umbali wa kilometa 13.


"Niwapongeze sana kwa jitihada kubwa mliyoifanya. Huu ndio uzalendo unaosisitizwa na serikali."


Mwisho.

No comments:

Post a Comment