Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge (kulia) akipokea taarifa fupi kutoka kwa Meneja wa  Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya Singida, Dkt.James Mrema wakati alipofika kuzindua  Chama cha Umoja wa Wanafunzi wa  Fani ya Uhasibu (ASA)-TIA Kampasi ya Singida jana.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla hiyo akisaini kitabu cha wageni kwa mara ya kwanza baada ya kufika katika taasisi hiyo.


Wimbo wa Taifa ukiimbwa.


Wimbo wa Taifa ukiimbwa.
Wimbo wa Taifa ukiimbwa.

Meneja wa  Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya Singida, Dkt.James Mrema, akizungumza wakati akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge kuzungumza na wanachama wa ASA na kuzindua chama hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge akizuzungumza na wanachama wa ASA  Kampasi ya Singida kwenye sherehe za uzinduzi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge akionesha cheti kilichorasimishwa kutumika kwa shughuli za chama hicho baada ya mchakato wa usajili kukamilika.
Mkuu wa  Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge, akimkabidhi cheti hicho Mwenyekiti wa ASA-TIA Singida Hamza Ramadhan.
Wageni waalikwa na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wanachama wa ASA wakiwa kwenye hafla hiyo.
Hafla ikiendelea.

Hafla ikiendelea.
Hafla ikiendelea.
Wanachama wa ASA na watumishi wa Taasisi hiyo wakiserebuka Kwaito.
Wanachama wa ASA na watumishi wa Taasisi hiyo wakiserebuka Kwaito.
Mserebuko ukiwa umekolea.


Hafla ikiendelea.
Watumishi wa Taasisi hiyo wakiwa kwenye hafla  hiyo.
Katibu Mkuu Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) CPA. Samson Mwigamba akitoa mada kwenye uzinduzi huo.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Singida, Willy Mponzi akitoa mada kwenye uzinduzi huo. Kulia ni Afisa wa Benki hiyo, Happy Mtafurwa.
Mtoa Mada Saimon Solomoni Mhasibu kutoka Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) akitoa mada.
Mtoa Mada Humphrey Simpholian kutoka Idara ya Elimu Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) akitoa mada.
Mtoa Mada Amani Mnyambi kutoka Benki ya CRDB, akitoa mada kwenye uzinduzi huo.
Meneja  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mkoa wa Singida, Dkt.Mohammed Kilolile, akitoa mada kwenye uzinduzi huo.
Mwanachama wa ASA, Nyamizi John akiuliza swali kwenye uzinduzi huo.
Mhadhiri Msaidi wa Taasisi hiyo Kampasi ya Singida, CPA  Margareth Emmanuel, akiwashukuru wadau wote waliofanikisha uzinduzi huo.
Meneja wa Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya Singida, Dkt.James Mrema (kushoto) na Watumishi wa Taasisi hiyo wakisakata rhumba kwenye hafla hiyo.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi (TIASO) Kampasi ya Singida, Dauda H. Dauda (kushoto) na Mratibu wa ASA, Sam Mushi wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Hafla ikiendelea.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla hiyo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa  ASA na Watumishi wa TIA Kampasi ya Singida.

  Meneja wa  Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya Singida, Dkt.James Mrema (waliokaa katikati)na Wageni waalikwa, Viongozi wa ASA na Watumishi wa TIA Kampasi hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.

Share To:

Post A Comment: