Tuesday, 2 February 2021

NAFASI ZA KUJITOLEA SEKTA YA ARDHI MERU DC

 

Halmashauri ya Wilaya ya Meru ipo  kwenye maandalizi ya kuanza zoezi la URASIMISHAJI  wa Ardhi i kwenye baadhi ya maeneo yaliyopo katika Halmashauri hiyo.Ili kuweza kuwajengea uwezo wanafunzi waliomaliza vyuo, Halmashauri inatoa nafasi kumi na nne za kujitolea katika fani  mbalimbali kwenye sekta ya Ardhi .Bofya hapa TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA .pdf

No comments:

Post a Comment