Tuesday, 1 September 2020

PICHA : Mwenyekiti Wa CCM Rais Magufuli Ahutubia Wananchi Wa Bahi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na mamia ya wananchi wakati akiwasili  wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwa mkutano wa kampeni wa hadhara leo Jumanne Septemba 1, 2020, ikiwa ni kituo chake cha kwanza toka azindue rasmi kampeni zake za kugombea Urais

No comments:

Post a Comment