Katibu Mwenezi na Itikadi wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Ahmed Kaburu.


Na Ismail Luhamba,Singida.


HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Singida imepitisha majina ya wagombea udiwani wa kata na  viti malumu.

Akitoa taarifa hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari Katibu Mwenezi na Itikadi wa chama hicho Mkoa wa Singida,  Ahmed Kaburu alisema halmashauri kuu imepitisha majina ya wagombea wa nafasi hiyo katika kata zote 136 za mkoa huo.

“Chama Cha Mapinduzi kitasimamisha wagombea katika Kata zote  136, hali kadhalika kikao kimefanya uteuzi wa wagombea katika Tarafa( 21) viti maalumu wanawake, na kwa sasa tunawapatia barua wagombea ili waende kuchukua  fomu za tume ya uchaguzi." alisema Kaburu.


Pia Kaburu alisema watahakikisha kupitia wagombea waliowateua jana watapata ushindi  kwa asilimia 100%, huku akiwaomba wagombea kuwa watulivu kusubiri ratiba ya Uchaguzi kutoka Tume ya Uchaguzi, na Uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu.

Kaburu aliwataja wagombea hao na kata zao kuwa ni 


 KATA  WILAYA YA SINGIDA MJINI.


1. KATA YA UTEMINI
- Ndugu. BALTAZARI LESIO KIMARIO

2. KATA YA MAJENGO
- Ndugu. YAGI MAULID KIARATU

3. KATA YA KINDAI
- Ndugu.OMARI SALUMU HAMISI

4. KATA YA KISAKI
- Ndugu. MOSES SHABANI IKAKU

5. KATA YA IPEMBE
- Ndugu MOHAMED ALLY OMARI

6. KATA YA MANDEWA
- Ndugu. BARAKA  HAMISI ALLY

7. KATA YA MTIPA
- Ndugu. RAMADHANI SAIDI YUSUPH

8. KATA YA MINGA
- Ndugu. IBRAHIM SELELI MRUA

9. KATA YA MISUNA
- Ndugu. HAMISI MOHAMED KISUKE

10. KATA YA MITUNDURUNI
- Ndugu. ABDALA ALMASI MKOKO

11. KATA YA MTAMAA
- Ndugu, GWAE CHIMA MBUA

12. KATA YA MUGHANGA
- Ndugu. VALERIAN ALYOCE KIMAMBO

13. KATA YA MUNGUMAJI
- Ndugu.HASSANI SHABANI MKATA

14. KATA YA MWANKOKO
- Ndugu. EMANUEL DANIEL KIEMI

15. KATA YA UHAMAKA
- Ndugu.SENGE MASIDI SENGE

16. KATA YA UNYAMBWA
- Ndugu. SHABANI SALUM MAGWE

17. KATA YA UNYAMIKUMBI
- Ndugu. KIPANDWA MUVE IPINI

18. KATA YA UNYIANGA
- Ndugu.GEOFREY SHABANI  MDAMA







MAJINA YA WANACHAMA WANAOTEULIWA KUGOMBEA UDIWANI WA KATA WILAYA YA SINGIDA VIJIJINI.

1. KATA YA KIJOTA
- Ndugu. MOHAMMED MWANGI HILINTI.

2. KATA YA KINYETO
- Ndugu. IDD RAJABU NJOKA.

3. KATA YA UGHANDI
- Ndugu. RAJABU ISSA ITIEGE.

4. KATA YA MSANGE
- Ndugu. ELIA DIGHA MLANGI.

5. KATA YA MUDIDA
- Ndugu. MANDE SAIDI OMARI.

6. KATA YA MUGHUNGA
- Ndugu. HASANI ABRAHAMANI MTINANGI.

7. KATA YA MTINKO
- Ndugu. BILALI ABRAHAMANI YUSUPH.

8. KATA YA KINYAGIGI
- Ndugu. IDD ISSA MTYANA.

9. KATA YA MERYA
- Ndugu. IDD RAJABU KIJIDA.

10. KATA YA MAKURO
- Ndugu. JUMANNE SALIM JAMBI.

11. KATA YA MRAMA
- Ndugu. CHARLES ABEID MSONIA.

12. KATA YA ILONGERO
- Ndugu. ISSA JUMA MWIRU.

13. KATA YA MAGHOJOA
- Ndugu. HAMISI RAMADHANI IFANDE

14. KATA YA MSISI
- Ndugu. EMANUELI YOHANA SIMA.

15. KATA Y ITAJA
- Ndugu. PAULO ABDALLAH HIMIDA.

16. KATA YA MUGHAMO
- Ndugu. MCHAGA MTEKA GUFA.

17. KATA YA IKHANODA
- Ndugu. JOSEPH MTITU KULUNYA.

18. KATA YA MGORI
- Ndugu. DHUMA ABDALLAH SAIDI.

19. KATA YA NTONGE
- Ndugu. MUNGADI RAMADHANI MOHAMEDI.

20. KATA YA MWASAUYA
- Ndugu. SALIMU ABDI JUMA

21. KATA YA NGIMU
- Ndugu. JAPHET JUMA DUDAI.

MAJINA YA WANACHAMA WANAOTEULIWA KUGOMBEA UDIWANI WA KATA WILAYA YA MKALAMA.


1. KATA YA NKINTO
- Ndugu. MUHAI CHARLES RUEBEN.

2. KATA YA KIKHONDA
- Ndugu. ELISHA SALEHE KANKA.

3. KATA YA GUMANGA
- Ndugu. JAMES JOHN MKWEGA.

4. KATA YA MPAMBALA
- Ndugu. BOAZ MATALU NDANDUTO.

5. KATA YA NDUGUTI
- Ndugu. ANTONY MARTIN KAHEMA .

6. KATA YA MANTONGO
- Ndugu. ERASTO JOHN LINZA.

7. KATA YA KINAMPUNDU
- Ndugu. SILIVESTER MARMO BARHE.

8. KATA YA MIGANGA
- Ndugu. OMARI MPINGA NZIA.

9. KATA YA NKALAKALA
- Ndugu. JABIRI ATHUMANI HASSAN.

10. KATA YA ILUNDA
- Ndugu. MOHAMEDI IDDI IMBELE.

11. KATA YA IBAGA
- Ndugu. SALUM ABDALLAH LINDI.

12. KATA YA MWANGA
- Ndugu. MOHAMEDI HAMISI JUMA.

13. KATA YA IGUGUNO
- Ndugu. BARNABA YOHANA MANG’OLA.

14. KATA YA MSINGI
- Ndugu. AMRI JUMA GUNDA.

15. KATA YA TUMULI
- Ndugu. BILAL HAMISI MSENGI.

16. KATA YA KINYANGIRI.
- Ndugu. EMMANUEL KABEA KIGOLUMBE.

17. KATA YA MWANGEZA
- Ndugu. BOSCO CHARLES SAMWEL.


MAJINA YA WANACHAMA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UDIWANI WA KATA WILAYA YA MANYONI


1.KATA YA CHIKUYU
   Ndugu, BENJAMINI DANIEL KAMOGA

2. KATA YA MAKANDA
    Ndugu, JUMANNE SHABANI MLAGAZA

3. KATA YA SARANDA
    Ndugu, JOSEPH HAMISI NDAHANI

4. KATA YA MAJIRI
    Ndugu, SAMWELI Z. LIGOHA

5. KATA YA NKONKO
    Ndugu, EZEKIEL SAMUEL EZEKIEL

6. KATA YA SANZA
    Ndugu, ZAKARIA ISAYA MABWAY

7. KATA YA SASILO
    Ndugu, TANO JOHN MAKAMBALA

8. KATA YA SASAJILA
    Ndugu, MGANTE JOB MGANTE

9. KATA YA KINTINKU
    Ndugu, JOSEPH JULIUS MBAWALA

10. KATA YA ISSEKE
      Ndugu, WIDON MATHAYO MNYANGULU

11. KATA YA SOLYA
      Ndugu, SHABANI JUMA RAMADHANI

12. KATA YA HEKA
      Ndugu, HARUNA THOMAS CHIMANGA

13. KATA YA MUHALALA
      Ndugu, GEORGE DAVID FUNDI

14. KATA YA MAKUTUPORA
      Ndugu, JEREMIAH MORIS MHEMBANO

15. KATA YA MAKURU
      Ndugu, MOSSES LEONARD MATHONYA

16. KATA YA MKWESE
      Ndugu, ROBART PAULO CHANZI

17. KATA YA CHIKOLA
      Ndugu, ONESMO SAMWEL MALUGU

18. KATA YA MAWENI
      Ndugu, ALEXANDAR LAMECK MPOMBWE

19. KATA YA MANYONI
      Ndugu, SIMON LINGWABA MAPUNDA

20. KATA YA IPANDE
      Ndugu, KEDMON JAPHET MPONDO

21. KATA YA MAJENGO
      Ndugu, MAGRETH SAIMONI MWALWAYO

22. KATA YA KALANGALI
      Ndugu, OBADIA LUCAS MAZULI

23. KATA YA ITIGI MJINI
      Ndugu, ALLY JOHN MINJA

24. KATA YA AGHONDI
      Ndugu, EMANUELI SOGWEDA HAJU

25. KATA YA KITARAKA
      Ndugu, JOHN EMMANUEL SUBETH

26. KATA YA MGANDU
      Ndugu, MARTIN RICHARD KAPONA

27. KATA YA RUNGWA
      Ndugu, SADI YAHAYA SUDI

28. KATA YA SANJARANDA
      Ndugu, NICODEMAS MKUWI MSUBIRI

29. KATA YA TAMBUKARELI
      Ndugu, HUSENI IBRAHIM SIMBA

30. KATA YA IDODYANDOLE
      Ndugu, WILIAM LUPAA MASAKA

31. KATA YA MITUNDU
      Ndugu, MASANJA PATRICK MWANULA

32. KATA YA MWAMAGEMBE
      Ndugu, JONATHAN EMANUEL DULLE


MAJINA YA WANACHAMA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UDIWANI WA KATA WILAYA YA IRAMBA.


1. KATA YA TULYA
- Ndugu. WILFRED JACKSON KIZANGA

2. KATA YA NDULUNGU
- Ndugu. SALUMU JILOLELO BUNYONGOLI

3. KATA YA MTEKENTE
- Ndugu. NOEL JOSEPH  SHOLE

4. KATA YA SHELUI
- Ndugu. AGNES NASANIA AMOSI

5. KATA YA NDAGO
- Ndugu. ERNEST MAGINGILI KADEGE

6. KATA YA KIOMBOI
- Ndugu. OMARI HASSAN OMARI

7. KATA YA OLD KIOMBOI
- Ndugu. SADIKI MUSTAFA MAWAKA

8. KATA YA MUKULU
- Ndugu. STEVEN APOLLO MWAMBU

9. KATA YA MGONGO
- Ndugu. WILSON PETRO MKUMBO

10. KATA YA NTWIKE
- Ndugu. ALBERT SAID MAKWALLA


11. KATA YA MTOA
- Ndugu. SAMWEL RAPHAEL TYUMBA

12. KATA YA KIDARU
- Ndugu, PHILIPO MANGULI MANGULI

13. KATA YA KASELYA
- Ndugu. JUMA RAMADHANI MAKWAULA

14. KATA YA KYENGEGE
- Ndugu. INNOCENT SAIDI MSENGI

15. KATA YA URUGHU
- Ndugu. SIMION MKUMBO TYOSELA

16. KATA YA KISIRIRI
- Ndugu. PAULO LYANGA MKANKULE

17. KATA YA ULEMO
- Ndugu. PETER JOHN PETER

18. KATA YA MALUGA
- Ndugu. RAMADHANI MBUTU HANJE

19. KATA YA KINAMPANDA
- Ndugu. JUSTUS GERSON MAKALA

20. KATA YA MBELEKESE
- Ndugu. OMARY SHABANI MNTUMBA


MAJINA YA WANACHAMA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UDIWANI WA KATA WILAYA YA IKUNGI


1.KATA YA MAKIUNGU
   Ndugu, JOHN MATHIAS MGHENYI

2.KATA YA MUNGAA
   Ndugu, GABRIEL THEODOR DULLE

3. KATA YA KIKIO
   Ndugu, KALEBU NKHONDEYA NKHONDEYA

4.KATA YA UNYAHATI
   Ndugu, NASORO ISSA HENKU

5.KATA YA ISSUNA
   Ndugu, STEPHANO NDUJI MISSAI

6. KATA YA DUNG’UNYI
   Ndugu, MATHIAS AMAS CASMIRI

7. KATA YA IKUNGI
   Ndugu, ABEL JOSEPH NKUWI

8. KATA YA LIGHWA
   Ndugu, BORGAS ANDREA NTANDU

9.KATA YA NTUNTU
   Ndugu, JOSEPH KINYEE LAKATI

10.KATA YA MANG’ONYI
    Ndugu, INNOCENT HUGO MAKOMERO

11.KATA YA MISUGHAA
     Ndugu, SELEMAN IITAMBU MUSSA

12.KATA YA MKIWA
    Ndugu, STEPHEN PETRO MTYANA

13.KATA YA SIUYU
     Ndugu, CELESTINI KIMU YUNDE

14. KATA YA IRISYA
     Ndugu, ALLY JUMA MWANGA

15.KATA YA IHANJA
     Ndugu, MOHAMEDI HAMISI IGAE

16.KATA YA SEPUKA
     Ndugu, HALIMA ATHUMANI NG’IMBA

17.KATA YA IGHOMBWE
    Ndugu, MWANDU MAGODI SHAGEMBE

18.KATA YA ISEKE
    Ndugu, LEONARD MUNA KWAE

19.KATA YA PUMA
    Ndugu, JOSEPH MTATURU MWEKWA

20.KATA YA MWARU
    Ndugu, IDDI ATHUMANI MAKANGALE
 
21.KATA YA MAKILAWA
     Ndugu, SHABANI HASSANI MTAKII

22.KATA YA MGUNGIRA
     Ndugu, DEOGRATIUS DAMIAN MAJIGE

23.KATA YAMUHINTIRI
     Ndugu, HAMISI ABDALLAH MPUMA

24. KATA YA IYUMBU
      Ndugu, PETER KWILIGWA JIDAMABI

25. KATA YA MTUNDURU
      Ndugu, RAMADHANI HAMISI MPAKI

26. KATA YA KITUNTU
      Ndugu, ALLY RAMADHANI AMASI

27. KATA YA MINYUGHE
      Ndugu, NELSON DAGHAU KIWESI

28. KATA YA IGLANSON
      Ndugu, YUSUPH ATHUMANI HAMISI

Share To:

Post A Comment: