Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM  umempitisha Dkt John Magufuli  kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa ndiye mwanachama pekee aliyejitokeza kuchukua fomu.
Share To:

Post A Comment: