Tuesday, 14 July 2020

ASKOFU GWAJIMA AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.

No comments:

Post a comment